Wanajeshi wa Israel walifanya mauaji manne zaidi dhidi ya familia moja katika Ukanda wa Gaza katika muda wa saa 24 zilizopita, na kusababisha mauaji ya Wapalestina 85 na wengine 133 kujeruhiwa, kulingana na vyanzo vya matibabu. Walithibitisha kwamba idadi ya vifo vya Wapalestina kutokana na mashambulizi ya Israel tangu Oktoba 7 imeongezeka hadi 40,534 walioripotiwa... Read More
Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA) kupitia Kanda ya Ziwa na kwa kushirikiana na kampuni za bima tarehe 23 Agosti, 2024 walitoa misaada mbalimbali katika Hospitali ya Somanda na shule ya kutwa ya Bariadi, wilayani Bariadi, Simiyu. Vifaa mbalimbali kwa ajili ya matumizi ya binadamu vilitolewa kama sabuni, taulo za kike, mipira,... Read More
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwahutubia Viongozi mbalimbali kabla ya kufungua Kikao Kazi cha Wenyeviti wa Bodi na Watendaji Wakuu wa Taasisi za Umma katika ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) tarehe 28 Agosti, 2024. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia... Read More

Na Ramadhani Kissimba Katibu Tawala wa Wilaya ya Morogoro, Bi. Ruth John amewaomba watalamu kutoka Wizara ya Fedha kwa kushirikiana na sekta ya fedha nchini kutatua changamoto zinazowakabili wananchi hasa watumishi wa umma zinazotokana na upatikanaji wa huduma za fedha zisizo rasmi. Bi. Ruth aliyasema hayo wakati Timu ya program maalum... Read More

DAR ES SALAAM: AZAM FC Assistant Coach Bruno Ferry is anticipating a significant response from his players as they prepare to face JKT Tanzania in their Premier League season opener at Major General Isamuhyo Stadium in Dar es Salaam today. This match comes on the heels of Azam’s recent exit from the CAF Champions League,... Read More