0 Comment
Imani ni kwake Baba aliye juu Mbinguni, Prince. Kuna nyakati Mwanadamu unaweka sana jitihada kwenye Maisha, unavuja jasho lako lote, unatumia nguvu zako na uwezo wako wa kila aina, lakini mwisho wa siku haupati matokeo unayoyatamani. Inatokea hii Prince. Inaweza kumtokea Mkulima shambani, inaweza kumtokea Mama sokoni na inaweza kumtokea Ronaldo kwenye uwanja wa mpira.... Read More








