Rapa maarufu kutoka Trinidad na Tobago Nicki Minaj ameweka kuwa mali zake zote amezisajili kwa jina la Mume wake Kenneth Petty na amefanya hivyo kwa sababu anamuani sana na kumpenda sana mume wake. “Mali zangu zote zimesajiliwa kwa jina la mume wangu kwa sababu nampenda na kumuamini”-amesema Nick Minaj kwenye moja ya mahojiano yake.... Read More
Al Ahly Tripoli ya libya wameamua kuwakata mishahara ya miezi miwili wachezaji wao kufuatia matokeo mabovu ya hivi karibuni ikiwa ni pamoja na kuondoshwa kwenye kombe la Shirikisho na klabu ya Simba ya Tanzania . Kabla ya tukio hili la kukata mishahara kwa wachezaji bodi ya Al Ahly Tripoli iliwafuta kazi makocha wake wote mapema... Read More
Waokoaji katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC) wanaendelea kuwatafuta watu walio hai au waliokufa maji baada ya boti waliyokuwa wakisafiria kupinduka na kuzama katika Ziwa Kivu, mashariki mwa Jamhuri hiyo. Hadi sasa taarifa kutoka DRC zinaeleza kuwa watu takribani 80 wamethibitika kufa maji katika ajali hiyo. Idadi kamili ya watu waliokuwamo ndani wakati boti... Read More