0 Comment
LONDON: MABINGWA wateezi wa EPL Liverpool huenda wakamkosa mshambuliaji wao Alexander Isak watakapokabiliana na Brentford Jumamosi, huku timu hiyo ikitafuta kurejea kwenye njia ya ushindi baada ya kupoteza mechi tatu mfululizo za Ligi Kuu ya England. Mshambuliaji huyo wa Sweden alipata majeraha ya nyonga katika ushindi wa mabao 5–1 dhidi ya Eintracht Frankfurt kwenye Ligi... Read More








