0 Comment
FARIDA MANGUBE, MOROGORO Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Exaud Kigahe, amevitaka vyuo vikuu nchini kuhakikisha vinaandaa wanafunzi kuwa wabunifu na kuendana na kasi ya ukuaji wa teknolojia na mapinduzi ya viwanda, ili waweze kujiajiri badala ya kusubiri kuajiriwa baada ya kuhitimu. Akizungumza na wanafunzi wa Chuo Kikuu Mzumbe wakati akifungua kambi ya wajasiriamali... Read More