0 Comment
MBUNGE wa Singida Mashariki Miraji Mtaturu,akichangia Muswada wa Sheria ya Viwanja vya Ndege Tanzania wa Mwaka 2024 Bungeni jijini Dodoma. ……. MBUNGE wa Singida Mashariki Miraji Mtaturu amechangia Muswada wa Sheria ya Viwanja vya Ndege Tanzania wa Mwaka 2024 ,huku akigusia mambo mawili ambayo ni vyanzo vya Mapato vya Mamlaka ya Viwanja vya Ndege(TAA),na usalama... Read More