0 Comment
RAIS Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dkt. Jakaya Kikwete, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Ubia wa Wadau wa Maji Kusini mwa Afrika (Global Water Partnership (Southern Africa & GWP Africa Coordination Unit), alishiriki Mkutano wa Bodi wa Taasisi hiyo uliofanyika leo tarehe 13 Desemba, 2024, mjini Pretoria, Afrika Kusini. Miongoni mwa masuala mengine,... Read More