0 Comment
Na Mwandishi wetu, Smanjiro ALIYEKUWA Mwenyekiti wa kijiji cha Engonongoi kata ya Terrat, Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, kwa miaka 30 tangu mwaka 1995 hadi mwaka 2024 Nemamiyai Shinini amelalamikia kamati ya siasi ya CCM wilaya hiyo kukata jina lake ili asigombee . Nemamiyai ambaye pia ni mganga wa jadi (Laiboni) akizungumza na waandishi wa habari... Read More