0 Comment
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji wa Rufani, Mhe. Jacobs Mwambegele akifungua mkutano wa siku moja wa Tume na wadau wa Uchgazi mkoa wa Tanga leo Februari 01, 2025 ikiwa ni maandalizi kuelekea zoezi la uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Mpiga Kura kwa mikao ya Pwani na mkoani Tanga katika Halmashauri... Read More