0 Comment
Na Khadija Kalili, Michuzi TV TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Pwani imefanikisha kuongeza makusanyo Wilaya ya Kibiti Mkoani Pwani kwa kipindi cha Oktoba hadi Desemba 2024. “Tulifanya uzuiaji katika mfumo wa kukusanyaji wa mapato kwa kutumia POS mashine kwa kuongeza makusanyo kutoka 4,632,682.75 kwa wiki hadi Sh.Mil.12,089,760 ambapo kwa mwaka... Read More