0 Comment
Na. Peter Haule, WF, Dodoma Waziri wa Fedha, Mhe. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), amesema kuwa Serikali ipo katika hatua za mwisho za kuanza zoezi la kutoa fedha kwa ajili ya vituo vya afya vya kimkakati katika majimbo na ukamilishaji wa maboma yaliyojengwa na wananchi. Mhe. Dkt. Nchemba ametoa kauli hiyo bungeni jijini Dodoma wakati akitoa... Read More