Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thatib Kombo akiwasili katika Makao Makuu ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) jijini Arusha leo tarehe 28 Novemba 2024 kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa 46 wakawaida wa Baraza la Mawaziri la Jumuiya hiyo. Mkutano wa Mawaziri unafanyika kwa ajili ya kuandaa... Read More
Shughuli ya kuhesabu kura inaendelea nchini Namibia baada ya uchaguzi ulioonekana kuwa na ushindani mkali zaidi katika miongo kadhaa. Kulikuwa na misururu mirefu nje ya vituo vya kupigia kura siku nzima ya Jumatano huku vijana wa nchi hiyo wakipiga kura zao kwa rais mpya na bunge. Upigaji kura ulifungwa saa tisa jioni kwa saa za... Read More
Hatimaye Sean “Diddy” Combs ameikosa dhamana kwa mara ya tatu kutoka kwa hakimu katika jiji la New York. Majaji wawili hapo awali walikataa kuachiliwa kwa Bw.Combs kutoka kizuizini, haswa kwa sababu ya wasiwasi kuhusu uwezekano wa kuchezea mashahidi, wakiona kuwa ni hatari kubwa ikiwa ataachiliwa kabla ya kesi, ambayo imepangwa Mei 2025. Bwana Combs anazuiliwa... Read More
Kundi la Hezbollah limedai “ushindi” dhidi ya Israel baada ya kusainiwa kwa makubaliano ya kusitisha mapigano, likisema wapiganaji wake wako tayari kukabiliana na vitisho vya Israel siku zijazo Kundi la Hezbollah limedai “ushindi” dhidi ya Israel baada ya kusainiwa kwa makubaliano ya kusitisha mapigano, likisema wapiganaji wake wako tayari kukabiliana na vitisho vya Israel siku... Read More
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania November 28, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya. The post Habari kubwa Magazetini Kenya leo November 28, 2024 first appeared on Millard Ayo.
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam November 28, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania. The post Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo November 28, 2024 first appeared on Millard Ayo.
Kwa majina naitwa Naseeb Ally kutoka Tanga, Tanzania, familia yetu ina uwezo mkubwa sana tu kifedha, licha ya hilo sikuwa na amani kwa kipindi cha miaka 12 kutokana na kusumbuliwa na ndoto za kichawi kila mara. Tatizo hili lilianza nilipokuwa kidato cha tatu katika shule ya kulala, kila mara nilikuwa nashtuka na kujikuta nimetokwa na... Read More
Mbunge wa Jimbo la Mchinga Mkoani Lindi Mama Salma Rashid kikwete amewaongoza wananchi wa Jimbo hilo kushiriki zoezi la upigaji wa Kura kuchagua viongozi wa Serikali za mitaa, vijiji na vitongoji Mama Salma ameshiriki zoezi hilo Katika kituo cha kupiga Kura cha Makasini kijiji cha Ruvu Kata ya Mchinga huko manispaa ya Lindi Akizungumza... Read More