0 Comment
Polisi wa Kata ya Ikoma, Tarafa ya Grumet, Wilaya ya Serengeti, Mkoa wa Mara, CPL Emmanuel Mwikwabe, amemkabidhi kiti mwendo mtoto Vaileth Enock (16), mwenye ulemavu wa kuzaliwa uliosababisha kupooza mwili wake. CPL Mwikwabe aligundua hali ya mtoto huyo kupitia kampeni ya utoaji wa elimu ya polisi jamii kwa mfumo wa nyumba kwa nyumba katika... Read More