0 Comment
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Kiongozi wa msafara wa Taasisi ya “International National Trust Organisation” kutoka Nchini Uingereza.Meneja Mradi David Simpson (kulia kwa Rais)mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 10-10-2024,na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe.... Read More