0 Comment
NA WILLIUM PAUL, MOSHI. MBUNGE wa Jimbo la Moshi Vijijini Profesa Patrick Ndakidemi ameendelea na ziara ya kikazi katika Kata ya Uru Kaskazini akiambatana na Katibu wa CCM Wilaya ya Moshi Vijijini, Ramadhani Mahanyu, Katibu wa UWT Wilaya ya Moshi Vijijini Oliver Ngalawa, Diwani wa Kata, Miriam Msoka, Viongozi wa CCM Kata ya Uru Kaskazini... Read More