0 Comment
Kilombero, Morogoro. Maonesho ya Siku ya Wakulima wa Miwa Bonde la Kilombero yameanza huku wadau kutoka sekta mbalimbali za sukari wakishiriki mijadala kuhusu kaulimbiu ya mwaka huu, “Kuwawezesha Wakulima wa Miwa Kupitia Teknolojia na Ubunifu: Njia ya Kuongeza Tija na Utoshelevu wa Sukari.” Lengo la kaulimbiu hii ni kuelimisha wadau na kuonesha teknolojia ya... Read More