0 Comment
Mwenyekiti wa mtaa wa Namanyigu kata ya Mshangano manispaa ya Songea Abdulkadri Myao, amesema Mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira Songea SOUWASA, wameboresha kwa kiasi kikubwa huduma wanazozitoa ukilinganisha na kipindi cha nyuma jambo ambalo limerejesha matumaini kwa wakazi wa eneo hilo. Amebaisha hayo baada ya SOUWASA kutembelea mtaa huo ikiwa ni mwendelezo... Read More