0 Comment
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akizungumza na Wananchi wa Magiri wakati akiwa katika Wilaya ya Uyui katika muendelezo wa ziara ya kikazi mkoani Tabora tarehe 09 Oktoba 2024. ………… Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango ameitaka Wizara ya Kilimo kuendelea... Read More