0 Comment
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Dkt. Philip Mpango ameweka jiwe la msingi mradi wa ujenzi na upanuzi wa Kiwanja cha ndege Tabora na kuipongeza Wizara ya Ujenzi wa kazi wanayoifanya katika mradi huo. Akizungumza leo tarehe 9 Octoba 2024 mara baada ya kukagua na kuweka jiwe la msingi la ujenzi... Read More