0 Comment
Mfumo wa usimamizi wa ununuzi wa umma kielektroniki (NeST) umeshinda tuzo ya “Mfumo Bora wa Ununuzi wa Umma Barani Afrika” katika tuzo za African Association for Public Administration and Management (AAPAM), zilizokuwa zikishindaniwa chini ya uangalizi wa Umoja wa Afrika (AU), jijini Kampala, Uganda. ………………. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Kampala, baada ya kupokea... Read More