0 Comment
Wataalam wa idara ya afya manispaa ya Ilemela wameshauriwa kuwafikia wananchi kwaajili ya kuwapa elimu ya umuhimu wa bima ya afya ili waweze kuepukana na gharama kubwa wakati wa matibabu Rai hiyo imetolewa na Mbunge wa Jimbo la Ilemela Mhe Dkt Angeline Mabula wakati wa mkutano wake wa hadhara katika viwanja vya Kangae ‘B’ kata... Read More