0 Comment
Mkuu wa wilaya ya Kalambo Dkt Lazaro Komba wakati akimwakilisha mkuu wa mkoa wa Rukwa katika Baraza la uwezeshaji Wananchi kiuchumi ……………… Na Neema Mtuka Rukwa. Wananchi wa Mkoa wa Rukwa wametakiwa kuchangamkia fursa mbalimbali zilizopo mkoani humo kwa lengo la kujiinua kiuchumi na kuongeza kipato. Wito huo umetolewa na Katibu Mtendaji wa Baraza la... Read More