0 Comment
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Gavana wa Jiji la Moroni, Comoro Mhe Ibrahim Mzee (kulia kwa Rais) akiongoza ujumbe huo, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 9-10-2024, na (kushoto kwa Rais) Mstahiki Meya wa Jiji la Zanzibar Mhe. Mhamoud... Read More