0 Comment
Ushirikiano kati ya Taasisi ya Adani Foundation na IITM Zanzibar kwa pamoja wamekubaliana katika kuboresha elimu ya juu nchini katika kuunda fursa kwa vijana, hasa wale wanaotoka katika familia zenye hali duni. Kwa kuanzisha programu wezeshi ya Sayansi ya Takwimu, Akili Bandia, na Miundo ya Baharini, huu ni mpango unaokamilisha malengo makubwa ya serikali ya... Read More