0 Comment
Watanzania maarufu na wasio maarufu waliungana jijini Dar es Salaam Jumanne kusisitiza faida muhimu za mazingira na umuhimu wa juhudi za pamoja za uhifadhi. Tukio hilo lilisisitiza kwamba bila kujali sisi ni nani au tunatoka wapi, sote tunahusiana na mazingira na ni wajibu wetu kuyatunza. Mwimbaji na mtangazaji wa Televisheni Nakaaya Sumari, waimbaji wawili maarufu... Read More