0 Comment
Na. Saidina Msangi, WF, Bagamoyo, Pwani. Watumishi na wananchi wa wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani, wameishukuru Serikali kwa kuwapa mafunzo ya elimu ya fedha yanayotolewa na Wizara ya Fedha kwa kuwa yamewafungua na kuwapa mwanga wa kujiandaa kustaafu wakiwa na uchumi imara. Walitoa shukrani hizo kwa nyakati tofauti Mjini Bagamoyo, mkoani Pwani, baada ya... Read More