AKIWA katika mkutano na viongozi na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Bagamoyo uliofanyika katika ukumbi wa Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TASUBA) Mkoani Pwani, Katibu Mkuu wa Umoja wa Wazazi Tanzania Jumuiya ya CCM, Ndugu. Ally Salum Hapi *(MNEC) ametuma salamu kwa viongozi wasio wajibika katika nafasi zao walizoaminiwa na... Read More
LEO ndio ile siku yako ya kubutua mamilioni kupitia michezo ambayo itachezwa leo, Kwani leo ni michezo mikali na ya kibabe tu itakwenda kupigwa na ndio itakua fursa yako ya kuondoka maokoto ya kutosha. Michezo mikali itachezwa leo kwenye michuano ya Uefa Nations League na kama kawaida mabingwa wa michezo ya kubashiri Meridianbet wamemwaga Odds... Read More
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania September 8, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya. The post Habari kubwa Magazetini Kenya leo September 8, 2024 first appeared on Millard Ayo.
MFUKO wa Uwekezaji wa Pamoja wa Alpha Halal Fund umeingia makubaliano na kampuni tanzu ya soko la hisa la Uingereza, Infinitive, kwa ajili ya kupata taarifa muhimu za masoko duniani. Akizungumza katika hafla hiyo leo Septemba 7,2024 Jijini Dar es Salaam Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Alpha Halal Fund Gerase Kamugisha, akieleza kwamba Refinitiv, itatoa... Read More
Na Mwandishi Wetu,Manyara . Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya kuzalisha vinywaji changamshi ya Mati Super Brands Limited David Mulokozi amejitokeza kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la Wapiga kura katika kituo Cha Bagara Sekondari Wilayani Babati Mkoani Manyara huku akieleza kufurahishwa na zoezi hilo linaloendeshwa kwa ufanisi mkubwa na Tume Huru ya Uchaguzi na kuwataka wakazi... Read More
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam September 8, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania. The post first appeared on Millard Ayo.
MFUKO wa Uwekezaji wa Pamoja wa Alpha Capital umeingia makubaliano na kampuni tanzu ya soko la hisa la Uingereza, Infinitive, kwa ajili ya kupata taarifa muhimu za masoko duniani. Akizungumza katika hafla hiyo leo Septemba 7,2024 Jijini Dar es Salaam Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Alpha Capital Fund, Gerase Kamugisha, akieleza kwamba Infinitive itatoa huduma... Read More