Mwandishi Wetu,Iringa MKURUGENZI Mkuu Tume ya Taifa ya Umwagiliaji Raymond Mndolwa amewataka wakandarasi wanaojenga mradi wa Umwagiliaji Skimu ya Mkombazi mkoani Iringa kuongeza kasi ujenzi wa miradi hiyo ili kuhakikisha uwekezaji mkubwa uliofanywa na serikali unanufaisha wakulima katika msimu ujao. Pia amewataka wakandarasi hao kuwa na mkakati wa kumaliza ujenzi wa miradi hiyo hadi kufikia... Read More
Utafiti uliofanywa na Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) umeonesha asilimia 5.8 ya Watu Wanaoishi na Virusi vya Ukimwi (WAVIU) na kutumia dawa wanakabiliwa na tatizo la usugu. Akizungumza Mtafiti Mwandamizi Kitengo cha Maikrobaiolojia na Kinga MUHAS, Dkt, Doreen Kamori amesema utafiti huo ulifanyika mwaka 2020 katika mikoa 22 Tanzania Bara ikiwemo... Read More
Benki ya NMB inashiriki katika mkutano mkubwa wa madini duniani, Africa Down Under, Perth, Australia unaomalizika leo. Mkutano huu wa siku tatu unawakutanisha wadau wa sekta ya madini kutoka sekta ya umma na binafsi ikiwemo viongozi wa serikali, makampuni ya uchimbaji, wawekezaji na wadau wengine kujadili fursa zilizopo, sera na hali ya jumla ya sekta... Read More
Afisa Usimamizi wa Fedha Mwandamizi wa Wizara ya Fedha, Bi. Mary Mihigo, akitoa elimu ya fedha kwa wananchi kuhusu umuhimu wa usimamizi wa fedha binafsi, jinsi ya kupanga mapato na matumizi ili kuweka akiba na kujikwamua kiuchumi pamoja na kujiandaa na maisha ya baadaye, wakati Maafisa wa Wizara ya Fedha walipokuwa wakitoa elimu ya fedha... Read More
Naibu Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, John Mongella, akisaini kitabu cha wageni katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga mara baada ya kuwasili mkoani hapo kwa ziara ya chama ya siku saba leo, tarehe 6 Septemba 2024. Mongella ni mlezi wa CCM Mkoa wa Shinyanga. Pamoja na kutia saini kitabu cha wageni,... Read More
Na. Abel Paul Chicago Marekani. Askari wa kike kutoka nchini Tanzania wakiwa katika Jiji la Chicago Nchini Marekani wametumia fursa ya Mafunzo yaliyofanyika nchini humo kutangaza Utalii na vivutio vya vilivyopo nchini ikiwa ni kuunga mkono Juhudi za mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na... Read More
Rais wa Urusi Vladimir Putin alisema baada ya Rais wa sasa wa Marekani Joe Biden “kuondolewa” katika kinyang’anyiro cha urais, Moscow sasa inamuunga mkono Makamu wa Rais Kamala Harris, ambaye alimrithi kwa tiketi ya urais wa Chama cha Democratic. Akizungumza katika kongamano la kiuchumi katika mji wa Mashariki ya Mbali nchini Urusi wa Vladivostok, Putin... Read More
Mkurugenzi mkuu Tume ya Taifa ya Umwagiliaji amewataka wakandarasi wanaojenga mradi wa Umwagiliaji Skimu ya Mkombazi Mkoani Iringa kuongeza kasi ujenzi wa miradi hiyo ili kuhakikisha uwekezaji mkubwa uliofanywa na serikali unanufaisha wakulima katika msimu ujao. Amewataka wakandarasi hao kuwa na mkakati wa kumaliza ujenzi wa miradi hiyo hadi kufikia mwishoni mwa Oktoba mwaka huu... Read More
Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge, amelipongeza Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kikosi Cha Ruvu kwa juhudi za kuchangia maendeleo ya sekta ya uchumi. Kunenge ametoa pongezi hizo Sept.04 aliposhiriki sherehe za kuhitimu mafunzo ya vijana Oparesheni miaka 60 ya Muungano kikosi Cha Ruvu , ambazo zilifanyika katika viwanja vya kambi hiyo wilayani Kibaha,... Read More