Na Mwandishi wetu SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar imeunga mkono uanzishwaji wa Jukwaa la Tanzanite Ceo Roundtable Zanzibar Chapter na kuona ni moja ya njia itakayoweza kukuza na kuendeleza uwekezaji na biashara kwa kukuza uchumi wa nchi. Pia imewataka Watendaji wakuu wa Sekta binafsi kutoka ndani na nje ya nchi kutumia Jukwaa hilo katika kuonyesha Serikali... Read More
Dar es Salaam: Global Global cloud communications platform Infobip has appointed Yariv Dafna as Chief Financial Officer (CFO) to strengthen the company’s position as a leader in the Communications Platform as a Service (CPaaS) market. With his extensive experience in finance, business management, and operations, as well as a background in corporate development and M&A spanning... Read More
Wanafunzi pamoja na Wahadhiri kutoka Chuo kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA), MWEKA pamoja na UDSM wamejengewa uwezo wa kufanya tafiti za kutambua viumbe hai vilivyokaribuni kutoweka na kupatiwa vifaa vya kitaalamu vitakavyowawezesha kupima na kuhifadhi sampuli za viumbe hai hivyo kupitia mradi wa CONTAN unaofadhiliwa na Umoja wa Ulaya. Akizungumza kwenye kongamano la wadau,... Read More
THE Tanzania People’s Defence Forces (TPDF) is turning 60 this September. It has been a remarkable and eventful journey for this formidable defence force which has during all this time, proved to be a truly People’s Army. Established on 1st September, 60 years ago, TPDF has lived to the expectations of many Tanzanians. Keeping pace... Read More
Na; Mwandishi Wetu – DODOMA BUNGE limepitisha Muswada wa Marekebisho ya Sheria za Hifadhi ya Jamii wa Mwaka 2024 wenye mambo kadhaa yanayolenga kuondoa changamoto zinazowakabili wanachama na utaratibu wa upatikanaji wa mafao. Marekebisho hayo yanagusa Sheria tatu ambazo ni Sheria ya Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii, Sura ya 50, Sheria ya Mfuko... Read More
BODI ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi Hesabu Tanzania (NBAA) imeendelea kutoa elimu/mafunzo kwa wanafunzi wa Taasisi, Vyuo pamoja na Shule za Sekondari ikiwa na lengo la kuwajengea ufahamu kuhusu shughuli mbalimbali za Bodi na kukuza taaluma ya Uhasibu. Akizungumza wakati wa kufungua mafunzo hayo Mkurugenzi wa Huduma za Shirika CPA Kulwa Malendeja alitoa salamu... Read More
Na Mwandishi Wetu WATU 6,597 miongoni mwao wakiwemo wajasiriamali 97 katika wilaya tano za Karatu, Ngorongoro- Loliondo, Monduli, Longido na Arusha DC wamepatiwa elimu na Shirika la Viwango Tanzania (TBS) kuhusiana na masuala mbalimbali yanayohusiana na viwango. Elimu hiyo ilianza kutolewa na maofisa wa TBS katika wilaya hizo za Mikoa ya Arusha na Manyara kuanzia... Read More
Naibu waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga amesema Serikali inaendelea na majadiliano na Kampuni za Nishati za Kimataifa (International Energy Companies – IEC’s) kwa ajili ya utekelezaji wa Mradi wa Kuchakata na Kusindika Gesi asilia kuwa Kimiminika – LNG na yakikamilika Serikali itaupeleka kwenye hatua inayofuata. Mhe. Kapinga amesema hayo leo Agosti 29, 2024 bungeni... Read More
Katibu wa NEC-Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa Ndugu Amos Makalla leo akiwa kwenye muendelezo wa ziara yake ya kukagua na kuzungumza na Wananchi wa Majimbo 10 ya Mkoa wa Dar es salam na leo ni Jimbo la Mbagala amekagua ujenzi wa hospital ya Mbagala yenye hadhi ya Hospital ya Wilaya na ujenzi wa... Read More