0 Comment
NA WILLIUM PAUL. MBUNGE wa Jimbo la Moshi vijijini, Prof. Patrick Ndakidemi ameihoji Serikali imechukua hatua gani za muda mfupi wa kati na muda mrefu kunusuru theluji inayotoweka mlima Kilimanjaro. Aidha Mbunge huyo katika maswali ya nyongeza, alihoji ikiwa Serikali ina mpango gani ya kuwatumia Wabunge wa mkoa wa Kilimanjaro katika zoezi la kuhifadhi mlima... Read More