0 Comment
SHIRIKA la Watoto Duniani (UNICEF) kwa kushirikiana na Mfuko wa Elimu wa Taifa unaosimamiwa na Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) wametoa ufadhili wa shilingi milioni 93.9 kwa Halmashauri ya Kaliua kwa ajili ya kuboresha miundombinu ya elimu. Kupitia ufadhili huo Shule ya Sekondari Kasungu imepata ufadhili wa ujenzi wa maabara ya sayansi kwa gharama ya... Read More