Rais Samia amechangia shilingi milioni 50 kuchangia ujenzi wa shule ya msingi na umaliziaji wa majengo ya zahanati inayomilikiwa na Baraza Kuu la Waislamu Tanzania – BAKWATA mkoa wa Simiyu. Read More
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipotoa tamko kuhusu Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Kupunguza Madhara ya Maafa, kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza, Oktoba 13, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu). Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu, Ridhiwani Kikwete akitoa taarifa mbele ya Waziri... Read More
Mfumo wa afya wa Lebanon unajitahidi kukabiliana na mahitaji yanayoongezeka ys afya huku kukiwa na mashambulizi yanayoendelea Israel, mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) amesema. “Kati ya vituo 207 vya huduma za afya za msingi katika maeneo yenye migogoro nchini Lebanon, 100 sasa vimefungwa kutokana na kuongezeka kwa ghasia. Hospitali 5 zimefungwa kwa sababu... Read More
Muungano wa nchi 104 wanachama wa Umoja wa Mataifa, pamoja na Umoja wa Afrika, umelaani uamuzi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wa kumtangaza Katibu Mkuu Antonio Guterres “kuwa mtu asiyetakikana.” Read More
NANDY FESTIVAL KUPIGWA LEO Mwimbaji Star na muanzilishi wa Tamasha la Nandy Festival, Faustina Mfinanga, (Nandy) ametangaza kufanyika kwa Tamasha la Nandy Festival Tanga siku ya leo Jumapili baada ya kuhairishwa kufanyika siku ya Jana iliyokuwa imetarajiwa kutokana na mvua iliyonyesha Tanga Mjini na Sababu nyingine ambazo ajazitaja.. Nandy Festival Tanga ilipangwa kufanyika... Read More
Naibu Waziri wa maji Mhandisi Kundo Mathewe katikati,akitoa maelekezo kwa kwa wasimamizi wa mradi wa maji Mang’aka na mkandarasi wa mradi huo baada ya kukagua ujennzi wake,kushoto Mkurugenzi wa usambazaji wa mamlaka ya maji Masasi Nachingwea(Manawasa)Mhandisi Janeth Mawenya na kulia Mkuu wa wilaya ya Nanyumbu mkoani Mtwara Christopher Magala. Naibu Waziri wa maji Mhandisi Kundo... Read More
Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Omar Said Shabani akitoa maelezo katika hafla ya Jukwaa la Kumi na Tatu(13) la Biashara lililofanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege,Kiembe samaki Zanzibar. PICHA NO-7516-Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Ali Mwinyi akitoa hotuba ya Ufunguzi wa Jukwaa... Read More