Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amewasili mkoani Mwanza kwa ajili ya ziara maalum ya kikazi na kupokelewa na viongozi wa Chama na Serikali, wakiongozwa na Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Ndugu... Read More
Na WMJJWM, Dar ES Salaam Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Mwanaidi Ali Khamis ametoa wito kwa jamii hususani kina Mama kuwekeza katika malezi na makuzi ya awali kwa watoto ili kupata Jamii yenye afya ya mwili, akili na kiroho. Mhe. Mwanaidi ameyabainisha hayo katika hafla ya Jubilee ya... Read More
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Zanzibar ni nchi salama kwa utalii wa mikutano na makongamano ya kimataifa. Alhaj Dk. Mwinyi ameyasema hayo leo, tarehe 12 Oktoba 2024, kwenye Kongamano la Kwanza la Kiislamu la Kimataifa lililowakutanisha Mashehe mbalimbali kutoka mataifa 18 duniani, kwenye viwanja vya... Read More
Ziara ya Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan mkoani Mwanza imeanza siku ya leo na kwa umuhimu mkubwa katika kuimarisha maendeleo ya mkoa huo inatarajiwa kutoa fursa kwa wananchi kuwasilisha changamoto wanazokabiliana nazo moja kwa moja. Katika ziara hii, Rais Samia atapata nafasi ya kutembelea na kukagua utekelezaji wa... Read More
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema linamshikiria Jaina Mchomvu kwa tukio la mauaji ya mtoto aitwaye Mariam Juma mwenye umri wa miaka 12 mkazi wa kwa Mrombo katika Halmashauri ya Jijini la Arusha aliyekutwa ameauwa huku mwili wake ukiwa na majeraha ya kukatwa na kitu chenye ncha kali sehemu ya shingoni na maeneo mbalimbali... Read More
Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Selemani Jafo, akijiandikisha kwenye Daftari la Wapiga kura kwa ajili ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika Kitongoji cha Kimani wilaya ya Kisarawe Mkoani Pwani leo Oktoba 12,2024. Na.Alex Sonna-KISARAWE Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Selemani Jafo ameshiriki zoezi la Uandikishaji kwenye Daftari la Wapiga kura... Read More
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akiongoza kikao cha Wataalam kutoka Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) na Benki ya Dunia, kilichofanyika Ofisi Ndogo za Wizara ya Fedha, Jijini Dar es Salaam, ambapo ilitolewa taarifa kuwa Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) na Benki ya Dunia (World Bank Group), zimeitangaza Tanzania kuwa... Read More
Na Mwamvua Mwinyi, Kibaha “Mjitokeze kwa wingi kwenye zoezi la uandikishaji wa wapiga kura, Natarajia kuona watu sita ndani ya kila saa ili tufikie malengo yetu ya uandikishaji kwa mkoa,” amesema Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Alhaj Abubakar Kunenge. Ili kuhakikisha mafanikio ya zoezi hilo, ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani imeandaa mbio za... Read More