0 Comment
*📌Wananchi 3,255 kila wilaya ya mkoa huo kunufaika* Wakala wa Nishati Vijiji (REA) kupitia kampuni ya Manjis Logistics Ltd, imeanza rasmi Mradi wa kusambaza majiko ya gesi 22,785 kama sehemu ya kampeni ya kitaifa ya kuhamasisha na kuwawezesha Watanzania, kuendelea kutumia nishati safi ya kupikia katika mkoa wa Kagera. Msimamizi wa Miradi ya Nishati Safi... Read More