0 Comment
Na Albano Midelo Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma imevuka lengo la ukusanyaji mapato,baada ya kufanikiwa kukusanya mapato ya zaidi ya shilingi bilioni 2.17 sawa na asilimia 124.91 katika kipindi cha mwaka 2023/2024. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo Khalid Khalif kwenye kikao cha Baraza la madiwani cha kujadili taarifa ya... Read More