0 Comment
Mafuriko makubwa yaliyosababishwa na mvua za ghafla yameharibu nyumba na kuacha watu 24 wakipotea nchini Yemen, mamlaka zilisema mapema leo hii. Mafuriko katika eneo la Al-Mahwit, magharibi mwa mji mkuu wa Sanaa unaodhibitiwa na waasi wa Kihuthi wanaoungwa mkono na Iran, yalisababisha maporomoko ya ardhi yaliyosomba nyumba kadhaa, Polisi walisema katika taarifa iliyobebwa na vyombo... Read More