0 Comment
ROMBO. MKUU wa mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu ameliagiza Jeshi la Polisi kuwasaka na kuwachukulia hatua wale wote waliohusika katika kuiba vitabu vya majina ya mkazi viwili vilivyoibiwa Oktoba 18 mwaka huu katika kituo cha Josho kijiji cha Kikelelwa kata ya Tarakea Motamburu wilaya Rombo. Kwa mujibu wa Jeshi la Polisi mpaka sasa linawashikilia watu... Read More