0 Comment
Mkuu wa Mkoa wa Mara, Kanali Evans Alfred Mtambi, amefanya ziara wilayani Serengeti kufuatilia zoezi la uandikishaji wa wapiga kura kwa ajili ya maandalizi ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa, huku akiwahamasisha wananchi kujitokeza kwa wingi katika siku zilizobaki kujiandikisha ili kushiriki kikamilifu katika uchaguzi huo. Akizungumza na wananchi kwenye vituo vya Marasomoche na Majimoto,... Read More