0 Comment
Na Jane Edward, Arusha Wadau wa sekta ya utalii kutoka kampuni ya Classic Tours&Safaris ambao ni wamiliki wa hotel ya kitalii ya Ngurdoto Mountain Lodge iliyopo jijini Arusha wamesema uwepo wa maonyesho ya magari aina ya Landrover(LANDROVER FESTIVAL) imeleta fursa nyingi ya kuwakutanisha na watu kutoka maeneo mbalimbali na kupata fursa za kibiashara. Beatrice Dimitris... Read More