0 Comment
Na Mwamvua Mwinyi, Kisarawe Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Mkoani Pwani Petro Magoti, ametoa tahadhari kwa baadhi ya vijana na akinamama kujiepusha na mikopo ya kibiashara isiyo na nafuu ambayo inafahamika kwa “mikopo ya kausha damu.” Alisisitiza kuwa mikopo hiyo inaleta mzigo mkubwa wa kifedha kwa wakopaji na kudhalilika . Alitoa tahadhari hiyo kwenye muendelezo... Read More