0 Comment
Na Pamela Mollel,Arusha Vijana wanaharakati wa mazingira wameshauri kuwepo kwa mkakati wa kimataifa wa kuliokoa bara la Afrika kutokana na athari za uharibifu wa mazingira yanayochangiwa na mataifa yaliyoendelea. Wametoa ushauri huo katika mkutano wa Haki ya Mazingira uliowakutanisha vijana kutoka mataifa zaidi ya 100 Duniani, mkoani Arusha uliolenga kujadili mbinu endelevu za kupunguza athari... Read More