0 Comment
Zaidi ya wananchi elfu Mbili wa Mji wa Ifakara Wilaya ya Kilombero Mkoani Morogoro wamefanya matembezi ya pole zaidi ya kilometa 5 Ili kuhamasisha wananchi kujitokeza kujiandikisha katika daftari la mpiga kura katika Mji huo. Matembezi hayo yameongozwa na Mkuu wa Wilaya hiyo ya Kilombero Wakili Dunstan Kyobya ambapo amewataka wananchi kuendelea kujitokeza katika zoezi... Read More