0 Comment
Jeshi la Polisi Mkoa Arusha limesema kuwa katika baadhi ya vyombo vya habari kumekuwa na taarifa inayosambaa ikisema kwenye nyumba ambayo ulikutwa mwili wa mtoto Mariam Juma aliyeuawa tarehe 12.10.2024 huko kwa Mrombo kumekutwa risiti ambazo watu na baadhi ya vyombo hivyo wanadai ni risiti za malipo ya vifo au mauaji yaliyofanyika kishirikina. Akitoa... Read More