0 Comment
Waziri wa Uchumi wa Buluu na Uvuvi Shaaban Ali Othman akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusiana na Mafanikio ya Wizara anayoingoza kutimia Miaka Minne ya Uongozi wa Rais Dk Hussein Ali Mwinyi hafla iliofanyika katika Ukumbi wa ZBC TV Mnazi mmoja Zanzibar. Waziri wa Uchumi wa Buluu na Uvuvi Shaaban Ali Othman akisisitiza jambo wakati... Read More