0 Comment
KAMPUNI ya Oryx Gas Tanzania imepanga kutumia zaidi ya milioni 300 kutekeleza mradi wa ujenzi wa tanki kubwa la gesi ya kupikia kwa ajili ya wafanyabiashara soko la Kimataifa la Samaki Feri katika kuendelea kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia nchini. Akizungumza leo Septemba 14,2024 jijini Dar es Salaam wakati wa kuutambulisha mradi huo... Read More