0 Comment
Na: Dk. Reubeni Lumbagala. Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere enzi za uhai wake aliwahi kusisitiza kuwa juhudi zinazofanywa na serikali katika kuwaletea wananchi maendeleo ni lazima ziguse maisha ya watu. Akasisitiza kuwa maendeleo yasiyogusa maisha ya watu hayana maana, ni lazima maendeleo yaguse maisha ya wananachi, kwani hayo ndiyo maendeleo yenye maana, maendeleo ya watu.... Read More