0 Comment
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Mha. Cyprian Luhemeja akifungua kikao cha Makatibu Wakuu cha Maandalizi ya Mkutano wa 29 wa Nchi Wanachama wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi (COP 29), uliofanyika Oktoba 29,2024 mkoani Dodoma. Naibu Katibu Mkuu (Muungano) Ofisi ya Makamu wa Rais, Bw. Abdallah Hassan Mitawi akizungumza katika kikao... Read More