0 Comment
Kongamnao kuhusu Mpango wa Bima ya Afya kwa Wote na Mdahalo wa Kitaifa kuhusu Mpango wa Ufadhili wa Sekta ya Afya yanafanyika kwenye Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha jijini Arusha kuanzia tarehe 29 na 30 Oktoba 2024 na 31 Oktoba na 01 Novemba 2024 mutawalia. Matukio hayo mawili yatakayofunguliwa na Waziri Mkuu wa... Read More