0 Comment
Katibu Mkuu, Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba na Balozi wa Japan nchini Tanzania Mhe. Yasushi Misawa wakisaini mikataba yenye thamani ya shilingi bilioni 68.5 kwa ajili ya kugharamia mradi wa ujenzi wa barabara za mzunguko za ndani za jiji la Dodoma, katika hafla ilyofanyika jijini Dar es Salaam. Katibu Mkuu, Wizara ya Fedha,... Read More