0 Comment
Katibu wa NEC-Itikadi Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa Ndugu Amos Makalla ameshiriki zoezi la kujiandikisha kwenye daftari la wakaazi kwaajili ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika Ofisi ya Serikali za Mitaa TPDC Kata ya Mikocheni Wilaya ya Kinondoni Mkoa wa Dar es salam.leo tarehe 16 Octoba 2024. Akizungumza na wakazi wa Mtaa wa... Read More